SABABU ZINAZOPELEKEA KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO LA NDOA:
✍️Tendo hili hutokea pale mwanaume anapo mwingilia mwanamke kimwili,na humchukua dakika moja ama mbili tu,kumaliza tendo, baada ya hapo hukoswa hamu ya kuendelea tena, na uume wake huwa legelege..
✍️Sababu nyingine ni kupania,kuwa na hamasa kupitiliza,kuwa na uoga na matatizo mengine ya kiseikolojia..
✍️Uwezo mdogo wa ngozi ya uume kuhisi au kupata mguso wakati wa tendo,na matatizo ya neva za mwili..
✍️Sababu nyingine ni uume kushindwa kusimama(erectile dysfunction) kutokana na kulegea kwa msuli wa pelvic floor muscle.
✍️Kiwango kidogo cha homoni,uzalishwaji hafifu wa kemikali kwenye ubongo(neurotransmitters)..
✍️Sababu zingine ni za kijenetiki,maambukizi hususani magonjwa ya zinaa,na matatizo ya vimbe katika mfumo wa uzazi wa mwanaume..
DALILI ZA KUFIKA KILELENI MAPEMA AU KABLA, WAKATI WA TENDO LA NDOA:
📍Kumaliza mapema au kabla ya tendo,tatizo hili huweza kuwatokea hata wale wanaofanya punyeto,wana weza kufika kileleni mapema tu,lakini wakati huo huo kufanya punyeto ni sababu moja wapo ya tatizo..
📍Dalili zingine ni,kuboreka,kughadhabika